send link to app

Bezaleli app for iPhone and iPad


4.8 ( 7328 ratings )
Utilities
Developer: Tanzania Assemblies of God
Free
Current version: 1.6.0, last update: 2 months ago
First release : 17 Feb 2022
App size: 31.34 Mb

Bezaleli ni mtandao unoliunganisha Kanisa la TAG kuanzia ngazi ya washirika, wachungaji, Kanisa la mahali pamoja, sehemu (section), majimbo, kanda hadi Kanisa la Taifa.

Mawasiliano

Bezaleli inarahisisha upatikanai wa taarifa rasmi za Kanisa kwa washirika na wachungaji katika ngazi zote.

Makusanyo

Ukusanyaji na utawanyaji wa Sadaka na Matoleo katika kanisa la TAG umerahisishwa hivyo kuongeza uwajibikaji katika ngazi zote. Bezaleli inakusaidia kuweza kupata namba za kumbukumbu za malipo (Control Numbers) kwa ajili ya kuwasilisha malipo.

Takwimu

Pata takwimu za fedha na mpango mkakati zitakazosaidia kufanya maamuzi katika ngazi zote za Kanisa.